Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
😂😂uwe na heshima basiUnataka kutuambia kuwa Chato itakuja kuwa hivyo?
Astafulilahi wallai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂uwe na heshima basiUnataka kutuambia kuwa Chato itakuja kuwa hivyo?
Astafulilahi wallai!
Hana tofauti na Kayafa wetu aliwasajili kila aina ya Waganga na Wachawi kwa msaada ya Bashite na kuwapa hifadhi Chato ndio maana kila mara alikuwa anakimbilia huko.Nguvu ya uchawi wa mobutu ilikuwa kwenye mnyama chui thus alivaa kofia ya ngozi ya chui. Aliamini Sana waganga kuliko akili yake thus akafanya mambo ya hovyo Sana kama mtu asiyepita darasani.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.
Aje kulala nani?Hiyo nchi nayo ni ya kifala. Wameshindwa kuutumia huo mjemgo kama hoteli?
Mimi na wewe mkuuAje kulala nani?