Wiriqo
Member
- Jun 29, 2019
- 49
- 74
Mtoa mada kaja na hoja we unaleta viroja.mtukufu rais! My footUsimfananishe Mtukufu Rais na mambo yako yakipumbavu..
Hii ni Tanzania sio kongo wewe kilaza, kama unapapenda kongo hamia huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada kaja na hoja we unaleta viroja.mtukufu rais! My footUsimfananishe Mtukufu Rais na mambo yako yakipumbavu..
Hii ni Tanzania sio kongo wewe kilaza, kama unapapenda kongo hamia huko
Mimi ndiye nitakayemfuata, haki ya nani nawaahidi watanzania wenzangu, chochote alichojenga hapo lazima nikivunjevunje! Sitajali gharama iliyotumika maana ni upumbavu huu anaotufanyia!Mzee baba mimi ni mtetezi wake ila kwa haya ya airport na mataa na mabenki yasiyo jengwa kwa kuangalia wingi wa wateja na fursa halisi simuungi mkono hata kidogo.
Hii ni 'precedent' mbaya sana kwa viongozi watakaomfuatia.
Ni kweli, akija rais kutoka Nachingwea, n.k naye anaweza jenga airport kijijini kwake. Africa kusonga mbele ni kazi kweli kweliMzee baba mimi ni mtetezi wake ila kwa haya ya airport na mataa na mabenki yasiyo jengwa kwa kuangalia wingi wa wateja na fursa halisi simuungi mkono hata kidogo.
Hii ni 'precedent' mbaya sana kwa viongozi watakaomfuatia.
Sanaaaa mkuu.Hii sio adhabu ya kawaida aisee.Yan haiwezekan kabisaa.Mungu akiamua kumuadhibu mtu huwa anamuaibisha sana, aisee
Wanasemaga historia haijirudii kamwe icho k2 hakiwezi tokea chato oyeeeeeUkifa na kukosa heshima ni adhabu tosha sana. Mobutu alivuna alichopanda!
Nasifia na kutetea yale mazuri yake.Kwa hiyo unatetea kitu gani basi?! Au unalipwaa yaani professional praise singer? Kama wachina wanaolipwa kilioni wakalia sana wakati msiba hauwahusu?!
Ule wa kwa Pinda unaendeleaje mkuuWakongo walishindwa kuyataifisha na kuyaendeleza haya makazi ? Nafikiri hata serikali za sasa nazo zina matatizo kichwani. Hiyo ni pesa ya walipa kodi inateketea !
Labda Chuo cha Uongozi Hovyo maana uongozi wa Awamu hii ni mbaya kwa kila kitu. Toka kuingia madarakani hakuna chochote walichojaribu kufanya kilichofanikiwa. Maneno ndio mengi lakini vitendo hakuna hata wakiongoza miaka 20 hakuna cha maana kitafanyika watatuachia magofu tu pamoja na uwanja wa Chato.KWANINI HAPAWI MAKUMBUSHO AU HATA KUJENGWA KACHUO FULANI HATA KA UONGOZI BORA?
CHUKI ZISITUPUMBAZE WAAFRIKA!
Wengine ni kupinga tu na wengine ni kuunga tu. Then what's the difference.Chadema ndo huwa nawaona wajinga hapo tu, yaani nyie kila kitu ni kupinga tu...manyumbu nyie bhana ni shida sana..!
Mutex iko pale Musoma, unajua iko ktk hali gani, mbona usiwambie wakaiendeleze.Wakongo walishindwa kuyataifisha na kuyaendeleza haya makazi ? Nafikiri hata serikali za sasa nazo zina matatizo kichwani. Hiyo ni pesa ya walipa kodi inateketea !
Unataka kutuambia kuwa Chato itakuja kuwa hivyo?
Astafulilahi wallai!
Hakuna wewe ni kadaNasifia na kutetea yale mazuri yake.
Nakosoa na kupinga yale mabaya yake.
Utaifa kwanza. Mimi sio kada, Kada wa chama chochote ni kusifia tu au kukosoa tu kulibgana na mlengo au maagizo ya chama chake.
Mwaka 2015 nilimchagua Magufuli, lakini 2010 nilimchagua Dr.Slaa.
Nachagua kiongozi(mtu) sichagui chama.
Kwa mtazamo wako upo sahihi mkuu.Hakuna wewe ni kada