Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Sie bure, wewe utakuwa ni mhanga wa zile issue za mishahara hewa. Mirija ilipobanwa lazima njaa iingie nyumbani.

Kumbuka mkuu kwamba njia yetu ni moja. Siku yako ya kulala na wewe itafika ukiwaacha wengine wakiendelea kulifurahia jua.

1. Mimi siyo muhanga wa mishahara hewa. Niko fixed na kipato changu binafsi.

2. Yes, wote tutakufa. Tunakufaje na kwa sababu gani? Hii ndiyo tafauti...

Yaani nitakavyokufa mimi na utakavyokufa wewe ni tofauti kabisa. Ni tafauti kabisa na alivyokufa Magufuli...

Sikiliza ndugu;

Kuna watu huwa wanaandaa na kuikaribisha mauti/kifo kwa makusudi na kwa haraka kabla ya wakati wao kwa nguvu na kwa mikono yao mwenyewe...

Magufuli ni mmoja wao...

Huyu bwana ni mtu aliyekuwa na chuki, dharau, visasi, kiburi, majivuno, roho ya uuaji na tabia zinazofanana na hizo. Kwanini asife vibaya na mapema...?

Alikuwa anaumiza na kuua/kumwaga damu za watu wasio na hatia, yeye angebakije hai na salama....? Impossible..

Huku ni kujiua mwenyewe. Ndiyo maana ya unakufaje na kwa sababu gani..!
 
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta

Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao

Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite

Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe

Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo

Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu

Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao

Leo hii kwao kumebaki magofu

Magufuli soma historia.

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272

Nabii uliona mbali sana. Heshima kwako mkuu.

Manabii ni nyie siyo kina Tito na njaa za matumbo yao.
 
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
jifikirishe kidogo, Mwl Nyerere hakuwa na ushamba huu, alijitahidi kujenga viwanda kwa kuvisambaza nchi nzima, angekuwa huyu wa kwenu angeweza kujenga kiwanda cha almasi |iringa na wakati almasi ilipatikana usukumani ?, unalazimsha vitu visivyowezekana, yaliyotokea kwa Mobuttu yatatokea the same pale chato, ni swala la muda tu, ingekuwa heri kupanua uwanja wa mwanza au kujenga uwanja kama huo bukoba au kujenga uwanja wa ndege geita, ukiondoka madarakani unawaachia watu wengine wanaendelea kutumia uwanja wao, kujenga uwanja uwanja wa ndege kijijini kwako na wakati humiliki ndege ni sawa na kujenga car parking kwenye nyumba ya kupanga huku unatumia gari ya kampuni ulikoajiriwa, kutoka mwanza kwa mfano ni karibu kwenda chato, unajua ukiondoka madarakani huwezi kwenda chato na ndege tena, wala hakuna museveni atakae kuja kukutembelea, hizo fedha zilizotupwa kule chato zingeweza kujenga miundombinu ya huduma za kijamii zikawanufaisha wengi kwa muda mrefu
 
Dah
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta

Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao

Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite

Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe

Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo

Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu

Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao

Leo hii kwao kumebaki magofu

Magufuli soma historia.

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Dah
 
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta

Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao

Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite

Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe

Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo

Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu

Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao

Leo hii kwao kumebaki magofu

Magufuli soma historia.

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Hahaha ukisoma yaliyomo humu JF na ukalinganisha na unayoyaona na kusikia mitaani unaweza ukachanganyikiwa...mashetani wamo humu JF lakini mitaani wamo wananchi kwa mamilioni wanaomlilia JPM a true son of Tanzania and Africa in general
 
Hao wanaokamatwa kwa kushangilia mitaani nao wako Jamii forum
 
Na wewe utalala in shame ...hutaliliwa na mtu...Hata Ndugu zako hawatakulilia...tunaomba iwe hivyo...Kama wewe ulivyoomba ..na sisi tunaombea ulale like a dog...
 
Hahaha ukisoma yaliyomo humu JF na ukalinganisha na unayoyaona na kusikia mitaani unaweza ukachanganyikiwa...mashetani wamo humu JF lakini mitaani wamo wananchi kwa mamilioni wanaomlilia JPM a true son of Tanzania and Africa in general
Nitajie mwanJF yaeyote aliyekamtwa na Polisi kwa kushangilia kifo cha Magufuli, mbona wanakamatwa wananchi wa kawaida kabisa tena wengine toka pembezoni kabisa mwa nchi, Katavi huko?
 
Unataka kukamatwa? Subiri ...utagongewa mlango ukiwa wewe na familia yako...subiri tu ..there is no hiding place in this world ..
 
mungu wenu amefariki. Shut the fu*k up.
 
1616306337055.gif
'

Ninakula pole pole
 
Back
Top Bottom