Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

Yule mtoto wake aliyejiita Saadam Hussein yuko wapi? Maana jamaa alivuna sana Wenge Musica walimuimba sana.
 
Kila kiongozi barani Afrika anawaza kuiba na kujilimbikizia mali kwa njia yoyote ile.

Barani Afrika Viongozi hugawana vyeo kwajili ya kula/kujilimbikizia mali na sio kuwajibika kwa wananchi. ndio maaana hakuna uwajibikaji kwasababu hakuna mwenye uchungu na wananchi, kila mtu anajali tumbo lake na familia yake.
 
Sasa hivi ni zamu ya Zanzibar kuwa Chato?
Yaani Afrika ni zaidi ya kulogwa, na hii inapelekea watu kutokuwa na uchungu na nchi yao, kila mtu ndani ya moyo wake anasema"ikitokea akapata nafasi serikalini wizi na kukwapua must"

Viongozi wakiwa madarakani wanajifanya hawajui katiba inavyowafanya kuwa manyang'au.
 
Kama vile chattle itavyokuwa after 4 yrs[emoji18][emoji18]
Acheni upuuzi usio na tija,Chato kweni hakuna familia miaka yote ?Mobutu alipotea na familia haikujulikana kwa sababu za kivita,sasa nchi yenye vita unakujaje kufananisha na kwetu kusiko na machafuko? Mtu aliyefanya makubwa kwenye inchi hii mnajaribu kumtengenezea mada za kijinga, fisadi na vyeti feki mna matatizo sana
 
Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.

Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira🙄
Muungano wa equals -Zanzibar inastahili asilimia 50 ajira za Muungano.
 
Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.

Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira🙄

Mtake msitake safari hii mtademka sana na Zenj yetu na tumeanzana salaam ya "Mercedes Benz" kwani ni antelezaaaaa mpaka makunduuchi tukiwa tumelala
 
Back
Top Bottom