Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Yule mtoto wake aliyejiita Saadam Hussein yuko wapi? Maana jamaa alivuna sana Wenge Musica walimuimba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuondoa aibu Tshekedi angelibomolea mbaliHakika hili ni somo zuri mno kwa viongozi washamba na malimbukeni wa Afrika View attachment 1782417View attachment 1782419View attachment 1782420View attachment 1782423View attachment 1782424
Mshikaji alichomoka na ngwengwe.Yule mtoto wake aliyejiita Saadam Hussein yuko wapi? Maana jamaa alivuna sana Wenge Musica walimuimba sana.
Mbali kote huko?Kama vile chattle itavyokuwa after 4 yrs[emoji18][emoji18]
Haukuwahi kuwa na watotoHakika hili ni somo zuri mno kwa viongozi washamba na malimbukeni wa Afrika View attachment 1782417View attachment 1782419View attachment 1782420View attachment 1782423View attachment 1782424
Ngoja nitafute Dalali nikanunua kiwanja hicho!HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA MALI.INA MAANA HANA NDUGU AU WATOTO WA KURITHI HIYO NYUMBA?
ZANZIBAR tunaijenga wenyewe choyo na husda zenu ndizo zilizoturejesha nyumaSasa hivi ni zamu ya Zanzibar kuwa Chato?
Haswa! Mwendo ni kufata nyayo. Opportunity knocks once.🙂Sasa hivi ni zamu ya Zanzibar kuwa Chato?
Yaani Afrika ni zaidi ya kulogwa, na hii inapelekea watu kutokuwa na uchungu na nchi yao, kila mtu ndani ya moyo wake anasema"ikitokea akapata nafasi serikalini wizi na kukwapua must"Sasa hivi ni zamu ya Zanzibar kuwa Chato?
Ikulu ya CHATO.. muda si mrefu itafuata mkumboHakika hili ni somo zuri mno kwa viongozi washamba na malimbukeni wa Afrika View attachment 1782417View attachment 1782419View attachment 1782420View attachment 1782423View attachment 1782424
Watakubali kutulia msituni huko?!!!HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA MALI.INA MAANA HANA NDUGU AU WATOTO WA KURITHI HIYO NYUMBA?
Acheni upuuzi usio na tija,Chato kweni hakuna familia miaka yote ?Mobutu alipotea na familia haikujulikana kwa sababu za kivita,sasa nchi yenye vita unakujaje kufananisha na kwetu kusiko na machafuko? Mtu aliyefanya makubwa kwenye inchi hii mnajaribu kumtengenezea mada za kijinga, fisadi na vyeti feki mna matatizo sanaKama vile chattle itavyokuwa after 4 yrs[emoji18][emoji18]
Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.Sasa hivi ni zamu ya Zanzibar kuwa Chato?
Muungano wa equals -Zanzibar inastahili asilimia 50 ajira za Muungano.Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.
Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira🙄
Jana niliona TBC wanasema kuna sheria inawapa wazenji haki ya 21% ya ajira zoote za Muungano. So, WANATAKA itekelezwe kikamilifu.
Yaani watu m1 wanajimilikisha 21% ya nafasi zote za ajira🙄