Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
1620751713372.png

1620752913467.png
 
Hilo kanisa hapo karibu na stand ni mark nzuri kujua sehe hiyo
 
Ha haa! Hicho kibasi cha kwanza cha rangi ya maziwa tulikuwanacho Mzumbe sekondari. Kilikuwa kinaitwa kibiriti. Cku hizi sijui kiko wapi!
 
Back
Top Bottom