Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

picha ya kwanza ni stand kati ya Zimbabwe au Africa ya kusaini

picha ya pili ni 3d animation hasa hasa kwenye magame
 
Hapo ni iringa stand,lile kanisa linaloonekana hapo ni kanisa la roma panaitwa mshindo,
Na ilo basi hapo mlimani sio picha halisi
Aliyepiga hiyo picha upande wake wa kushoto ni miyomboni,uhindini
Upande wake wa kulia ni makorongoni,ilala
Mbele yake panaitwa mashine tatu kuna wamachinga wengi sana ukiendelea mbele ndio unakutana na hilo kanisa la roma mshindo
 
Hizo zoote zipo ila Renault zimepotea kabisa hapa bongo.......Renault zilikuwa zinanifurahisha ile gear level yake ilikuwa ya kipekee sana
Alafu kulikuwepo na gari fulani za kirusi
Jina limenitoka kidogo,zilikuwa ngumu sana

Ova
 
Back
Top Bottom