Hii inaweza kuwa miaka ya 1977-90.mikoa wowote!
Hilo ni picha la Sarafina mkuu
Iringa hapoSpecifically ni mkoa gani kiongozi
Si umeuliza wapi mkuu..? Hapo ni Sauzi au hujawahi kuona picha la sarafinaSarafina na Tanzania wapi na wapi
Iringa hapo na lile ni catholicHilo kanisa hapo karibu na stand ni mark nzuri kujua sehe hiyo
Nimekaa Iringa siwezi kubisha kabisaIringa hapo na lile ni catholic
Hiyo ni stand ya mabasi ya Iringa mjini na ilikuwa 1981!Hii mada ya wahenga,ngoja tuwaite hapa Bujibuji Mshana Jr johnthebaptist na vigagu wengine mkuje huku.