Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

Ila hilo basi la dar express sijui kama tz kuna mazingira hayo hasa hiyo miti
Nilihisi labda ndiyo limetoka kwa manufacturer lnapelekwa bandarini for shipment
 
Uko sahihi hapo ni Iringa mjini

Kanisa katoliki liko eneo la Mshindo hilo linaloonekana

Ghorofa upande wa kushoto ni jengo la ilipokuwa highland Cinema jirani na kwa akina Hans pope linatazamana na posta
I conquer with u bro
 
Hii ni mwaka 79/80 ndiyo kulikuwa na mabasi hayo,oamoja na hizo peugeot 404 na 304
Zilikuwa zinaitwa forofoo. Mfaransa huyo...na kuna kipindi zilikuwa zinatengenezewa hadi Nairobi-Kenya
 
Kamera za rangi zilikuwepo miaka hiyo?
Huon hiyo picha ni B&W kama unazungumzia hiyo Dar express hapo chin hiyo ni Photoshop hajwahi kuleta gari ya aina hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…