Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Isitoshe huenda na wewe una ATM nyingi tu zenye miguu miwili badili ATM nyingine uendelee kufaidi kiungo chako ulichogeuza rasilimali...
 
Tuwasiliane please mimi sipo hivo,ila mwenzako huku kanifanyia hivo hivo
 
Back
Top Bottom