Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Wanaokuambia umuache sijui ujikatae.....sa. umuache uende wapi ambako hautachitiwa??? Komaa hapo hapo kama bado unampenda ila tu BE A BITCH u kno wora m saying
 
Isitoshe huenda na wewe una ATM nyingi tu zenye miguu miwili badili ATM nyingine uendelee kufaidi kiungo chako ulichogeuza rasilimali...
Unajaribu kunianbia nini we mzee
 
Back
Top Bottom