Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Njoo inbox tuzungumze Vizuri unipe mkasa mzima na mieenendo ya maisha yenu hapo kabla ya hili tukio nisije hukumu kimakosa pengeni wewe ndio chanzo.
Mimi sio chanzo kabisa
 
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?

Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Una pesa ya kununua PC mpya? Kama unayo basi vunja alafu usepe zako
 
Na block ameshakula
Wewe ninavyokuona ni kama mke.wa huyu jamaa! Fuatilia kisa hiki:
 
Ngoja nkisome
 
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?

Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Wee muage mwache kimya kinya hasira zitakuumiza
 
Back
Top Bottom