makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Bure ina gharama yake, sawa karibu tuyajenge.Ngoja tutayajenga ata Bure ntakupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bure ina gharama yake, sawa karibu tuyajenge.Ngoja tutayajenga ata Bure ntakupa
Una pesa ya kununua PC mpya? Kama unayo basi vunja alafu usepe zakoHuyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.
Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.
Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.
Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.
Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?
Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Mimi ni special hutajutiaNtajenga na wangapi jmni
Njoo inbox kwanza,mengine tutajuwa baadae.Mimi sio chanzo kabisa
😏🙁! Ulibeba laptop yake? Jomoni! Ili umkomoe au?PC nishbeba
Wewe ninavyokuona ni kama mke.wa huyu jamaa! Fuatilia kisa hiki:Na block ameshakula
Ngoja nkisomeWewe ninavyokuona ni kama mke.wa huyu jamaa! Fuatilia kisa hiki:
Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...www.jamiiforums.com
🙏🏾Aasante kaka yNgu
Teheeee don't worry the good thing is my pocket is dry but am full underneathAcha nije tuyajenge mkuu
Ila ntakuchuna hela
Wee muage mwache kimya kinya hasira zitakuumizaHuyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.