Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

Wakati mwingine majukumu ya nyumbani yanachosha sana hadi hamu inaondoka. Unakuta asubuhi hadi usiku mtu haujapata hata muda wa kupumzika na ule muda wa kupumzika kuna jukumu lingine. Hisia haziwezi kuwa karibu.

Jaribu kumtafutia mtu wa kusaidiana nae kazi za nyumbani.
 
Huu uzezeta wa wanaume wa siku hizi sijui unatoka wapi? Wee zezeta mpaka unatia kinyaa! Muda si mrefu huyo mwanamke ataanza kukuzaba vibao! Mwanaume unatakiwa huwe na kautisho fulani hivi kiasi kwamba ukiongea mwanamke anakuwa makini kukujibu! Hata mbususu unabembeleza? Shwaini!
 
Muhimu tu usije ukachukua maamuzi ya kipumbavu kama ya yule mwenzako wa Njombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…