Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

Sasa mimi nna mchepuko huyo akiwa mjamzito hua inabidi saa nyingine nimkwepe manake anakua kama kichaa yaani ashki zinakua juu balaa.. usilogwe ukamgusa tu atakurukia hata kama ni njiani anataka hapohapo😄
Kuna wengine hamu zinakuwa juu na wengine sasa ukimgusa ugomvi.

Kwahiyo huyo mchepuko unamsaidia kupanua njia sio😂
 
Kuna wengine hamu zinakuwa juu na wengine sasa ukimgusa ugomvi.

Kwahiyo huyo mchepuko unamsaidia kupanua njia sio[emoji23]
Kuna Jirani nilikua silali usiku Kwa makelele yake akigegedwa. Chakushangaa hata miezi 2 haijapita tangu nimehamia hapa nakuja skia tu kajifungua.

Nikashangaa kumbe mikito inaendelea tu hata kama una mimba kubwa...[emoji16][emoji16]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanafanya hadi masaa kadhaa kabla ya kwenda leba.😂😂😂hainaga masihara. Njia lazima iendelee kufunguliwa
 
#KATAA NDOA
 
Huwa wanabadilika baadae Mkuu! Unayoyashangaa sasa utayashuhudia kwa vitendo, Binafsi vitu vingi nilivyokuwa navishangaa kwa waliokuwa wameoa kabla sijaoa, sasa nayashuhudia kwa vitendo, "hakuna rangi sijaiona kwenye hii ndoa".




Hivi huwa mnakimbilia niny, kuoa wanawake wanamna hiyo.
 
Hii ni hulka kwa Wanawake wengi waliolewa, huyo mtu wa kusaidiana naye kazi za nyumbani itasababisha asaidiwe na mengine.
 
Tafuta kadada uwe unaenda kwake umlee kila mkeo akizingua usile hata hicho chakula wewe mpigie simu . Mama!watoto leo vipi hataki unavuta simu ya mchepuko my love nije nanini umeweka 20 au kumi k ya kumpa kama matunzo . Ila ukimtunza hakuombi hela ovyo hadi shida imbane so usipende kuiharibu ndoa bure
 
Yaani mke wako kabisa akunyime kipochi manyoya? Mliokotana nini? Kama anaumwa sawa,au labda kachoka.
Halafu saa nyingine sio kwamba anakunyima, ni ile tu kwamba mtu unachoka kuomba omba unapotezea! Kuna raha fulani ya kupewa tunda bila kuomba..

Mfano mi mke wangu mwanzoni ilikua akinikuta nimelala tu kwa mgongo sina hili wala lile utashangaa kashapanda. Sasa ikafika mahali hamna tena. Mara siku nyingine alale na mkaputura, mara suruali, mara akilala anakugeuzia mgongo, so unajua tu hapa leo hamna kitu. Mi nikishaona hivyo namimi nageukia upande mwingine imetoka hiyo. Siombi ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…