Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

Woii nyie hata muwe na wasaidizi wawili mna visirani vyenu, yaani ndoa zimekua mitihani mnatufanya tuzini ilhali tuna ndoa
 
Huwa wanabadilika baadae Mkuu! Unayoyashangaa sasa utayashuhudia kwa vitendo, Binafsi vitu vingi nilivyokuwa navishangaa kwa waliokuwa wameoa kabla sijaoa, sasa nayashuhudia kwa vitendo, "hakuna rangi sijaiona kwenye hii ndoa".
Siwezi kukubishia Mkuu kwa ulichosema maana mie bado cjaoa napia sijawahi kuwa katika mahusiano napia nina furaha na maisha yangu.

Pole sana mkuu, ishini nao tu kwa akili lakini pia fanyeni juu chini kuakikisha furaha yenu haitoki kwa hao viumbe maana ukisema uwaelewe kupitiliza utajikuta unakufa mapema.
 
Aisee
 
Mpe taraka yake, Nyumba yako geuza geto full kupishanisha mitoto tu. Shida za nini Mkuu?
 
Wakati anapika mngepika pamoja, siku moja sio mbaya. Kwetu cc wanawake tendo huanzia mbali na kuna vingi hutukata stim pia mfano uzazi wa mpango, uchovu uliopitiliza kwaiyo tendo kwetu sio kitandani tu
 
Wakati anapika mngepika pamoja, siku moja sio mbaya. Kwetu cc wanawake tendo huanzia mbali na kuna vingi hutukata stim pia mfano uzazi wa mpango, uchovu uliopitiliza kwaiyo tendo kwetu sio kitandani tu
Khaaa, kwenye ndoa hayo yote yaorodheshwe katika kiapo tusisumbuane mbele ya safari.
 
Hata kumbaka ulishindwa mkuu?
 
Tena nikiwa na nyege af nikinyimwa, nakua na hasira sitaki story yoyote. Hata ningejua angeninyima nisinge kula chakula chake.

Hujui tu inavyotia hasira
Hajakwambia kuwa yupo mwezini na red card ♦️?
 
USipokuwa na nyumba ndogo utakufa mapema shauri yako halafu huyo unayejifanya unampenda sana ataendelea kupakuliwa na wasela wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…