Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza"
Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole.
Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka kesho, akanijibu ataniambia.
Hapa nimekaa kwenye kiti ninahasira zisizo ongeleka.
Ingekua na ruhusa ningoa mke wa pili, au nitafute mchepuko. Haya mateso yanaharibu mood sana. Yani unakaa unaona mtu anaeweza kukusaidia yupo ila hupati unachokitaka.
Nahisi nitaanza kununua malaya kwa haya yanayoendela.