Pole ila we komaan na shule, demu sio wako huyo washamchukua.Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Wewe kumpenda sana haimfanyi yeye kukupenda sana mku.kiukweli nampenda sana
Wewe kumpenda sana haimfanyi yeye kukupenda sana mku.[/Q
Basi acha kumpenda sana, ukiacha kumpenda sana hata ukigundua umeliwa hutaumia sananakubali mkuU
kiukweli nampenda sana
Mpotezee huyo hat facebook mu unfriend ukion kakuchunia na ww jifanye kumpotezea.yaa, lakini nashindwa nitaanzaje kumuacha nampenda sana atanipa mawazo ntakapomuona hata kwenye social network
hahaaaaa,,sawasawa kk,,nmekubaliDah pole pale kuna international figures wengi wanakuja na $$ sio madafu sasa ww umeshaliwa !!
asante mkuuMpotezee huyo hat facebook mu unfriend ukion kakuchunia na ww jifanye kumpotezea.
nakubaliwajanja washajilia vyao
asantBasi acha kumpenda sana, ukiacha kumpenda sana hata ukigundua umeliwa hutaumia sana
asante mkuuAcha kuwazia kiumbe dhaifu huyo, hakuongezei wala kupunguza chochote. Tafuta mwingine achana na mawazo yasiyo kufikisha popote.
sawa mkuu,wapoodogo soma utafeli bure uwafedheeshe wazazi wako na ndugu wanaokutegemea....kwani SUA hakuna wanawake wa kukufanya upitishe siku zakoooo
kama wapo tafuta unayeona anafaa anaweza akawa bora ukamsahau hata huyo boya wa moshisawa mkuu,wapoo
sawa mkuu ntafanyaa,japo moyo wa kupenda umepotea kabsakama wapo tafuta unayeona anafaa anaweza akawa bora ukamsahau hata huyo boya wa moshi