Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Ukweli mtupu,na mimi nilitaka kusema hivi.
 
Kaka,waanga wa haya mambo tupo wengi na mbaya zaidi wa kwangu ni mchumba wangu kabisa,nishtambulisha kwa ndugu zangu na jamaa.Workmates zangu ndo usiseme.Kwa sasa mambo yamekuwa hivi.Nimekupm namba zangu unisaidie kwa ushauri,hali mbaya sana.
 
Piga moyo konde piga kitabu tafuta hela wanawake wako wengi tu.
Usijinyonge tu mkuu kisa kuachwa.
Ni wengi lakini kila mwanamke ni type yako,kumpata wa type yako sio suala dogo,unaweza zeeka hivihivi ukijiona.
 
Braza kwanza pole saana na kikubwa ube tulia halafu jikaze kiume umkalie kimya kwa muda mrefu, kama ni wako kweli itabaki atageuza shingo hata kama kuna jamaa anajipakulia mzigo
Ushauri huu nakupa kwa kuwa inaonesha unampenda saana.
 
asantee mkuu
 
Vp braza
 
jombaaaa unapenda dem zama hzi utapoteza time yako bure 2 hyo midudu huwaga aipendeki ila inatakiwa kuumizwa ndo cha msingi ila kwakuwa umeamua kuumia mwenyew bila 7bu hakuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…