Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
- #301
nakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeUshafanywa ki-ndondocha
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ukweli mtupu,na mimi nilitaka kusema hivi.Nina rafiki yangu ni lecturer pale mweka, nliwahi kumtembelea nikashangaa kwenye intake yao ratio ya wasichana wavulana inavyotofautiana, yaani katika wanafunzi kumi wasichana wawili wavulana nane!!!
Mind you hawa vijana wanatoka kwenye familia wanazoweza kulipa ada in USDs si chini ya elfu 3000!!!
Sipendi kua negative, but mweka is really not a safe place kwa hawa mabinti!!
For your sake, I hope am wrong,SON!!!
Kaka,waanga wa haya mambo tupo wengi na mbaya zaidi wa kwangu ni mchumba wangu kabisa,nishtambulisha kwa ndugu zangu na jamaa.Workmates zangu ndo usiseme.Kwa sasa mambo yamekuwa hivi.Nimekupm namba zangu unisaidie kwa ushauri,hali mbaya sana.Mwanangu hii story yako ni the same na mm...tangu mwaka jana mpnz wangu alibadilka mara tuache sex mpka tuonane,mara cm hapokei masaa hata 6 na watsapp anakuwa online anadelay kujib txt pia ikiwa nikimuulza kitu anajib kwa mood ya ukali nikaamua kumfuata hukohuko na baada ya uchunguz niligundua vitu vingi sana...sasa cha kukushaur nenda kmyakmya umtokee anapokaa kisha chukua cm yake utajua sabab na ukishaona ameanza kurukaruka na wanaume achana nae najua utaumia ila utasahau...mm baada ya kumfata niligundua vitu flan nikaona pia na my weakness nikaamua kuachana nae ila week mbili za mwanzo nimelia kidume mm lkn taratibu naanza kumsahau japo ni ngumu sana....ni pm au nipe namba yako nikushauri kitu coz maumiv ya hili nimeyapata cku chache zilizopta na cpo tayar kumuona mwenzangu akipitia hyo hali
Ni wengi lakini kila mwanamke ni type yako,kumpata wa type yako sio suala dogo,unaweza zeeka hivihivi ukijiona.Piga moyo konde piga kitabu tafuta hela wanawake wako wengi tu.
Usijinyonge tu mkuu kisa kuachwa.
asantee mkuuBraza kwanza pole saana na kikubwa ube tulia halafu jikaze kiume umkalie kimya kwa muda mrefu, kama ni wako kweli itabaki atageuza shingo hata kama kuna jamaa anajipakulia mzigo
Ushauri huu nakupa kwa kuwa inaonesha unampenda saana.
Vp brazaMwanangu hii story yako ni the same na mm...tangu mwaka jana mpnz wangu alibadilka mara tuache sex mpka tuonane,mara cm hapokei masaa hata 6 na watsapp anakuwa online anadelay kujib txt pia ikiwa nikimuulza kitu anajib kwa mood ya ukali nikaamua kumfuata hukohuko na baada ya uchunguz niligundua vitu vingi sana...sasa cha kukushaur nenda kmyakmya umtokee anapokaa kisha chukua cm yake utajua sabab na ukishaona ameanza kurukaruka na wanaume achana nae najua utaumia ila utasahau...mm baada ya kumfata niligundua vitu flan nikaona pia na my weakness nikaamua kuachana nae ila week mbili za mwanzo nimelia kidume mm lkn taratibu naanza kumsahau japo ni ngumu sana....ni pm au nipe namba yako nikushauri kitu coz maumiv ya hili nimeyapata cku chache zilizopta na cpo tayar kumuona mwenzangu akipitia hyo hali
Kweli inzi kafia kwenye kidonda tenakiukweli nampenda sana