Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

WE TATIZO USHASEMA UNAMPENDA...NDIO TATIZO LA VIJANA WA KU=IUME WA SASA HIVI..YANI HAPO INA MAANA UMEKAA HUNA MTU ILA HUYO HUYO ALIYE MKOA MWINGINE.....NDIO MAAN AUNAPATA TABU...ILIBIDI UWE NA LIST KAMA WATU 6 HAPO...AJABU UNALIA LIA ETI HUMUELEWI....SASA UNATAKA AKAE NA KUTU HIZO WAKATI KAKUTANA NA WAJANJA TENA WALIOTOKA DAR
 
Piga Kitabu achana na mapenzi. Kama huna pesa hakuna mapenzi.
 
Vip mkuu mpak saiz upo nae kwan?
 
Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Hayo ni mawazo yako boss. Hujajua bado maana ya kupenda. Ninavyokusoma hapa wadhani kupata uchi wa mwanamke ndiyo kupendwa. Kupendwa ni zaidi ya hela mkuu. Uchi utaupata ndiyo lakini kama hupendwi hutaenjoy.
 
Kama unataka akutafute na akujali mpe hela we mpe hela tu..
 
Chuo cha mweka ni chuo cha international ,na kna soma watu wenye pesa ivyo ni rahis kushawishka hasa akikutana na wakenya na s.afrika au Botswana ,ww ilo unakabiliana nalo vip? Una mpaga hela?
 
Chuo cha mweka ni chuo cha international ,na kna soma watu wenye pesa ivyo ni rahis kushawishka hasa akikutana na wakenya na s.afrika au Botswana ,ww ilo unakabiliana nalo vip? Una mpaga hela?
Nakubali
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Tatizo unampa chai...jamaa anampa mkwanja...hauna chako dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…