Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Nina rafiki yangu ni lecturer pale mweka, nliwahi kumtembelea nikashangaa kwenye intake yao ratio ya wasichana wavulana inavyotofautiana, yaani katika wanafunzi kumi wasichana wawili wavulana nane!!!

Mind you hawa vijana wanatoka kwenye familia wanazoweza kulipa ada in USDs si chini ya elfu 3000!!!

Sipendi kua negative, but mweka is really not a safe place kwa hawa mabinti!!

For your sake, I hope am wrong,SON!!!
 
bro naungana na wewe ,ukizingatia binti alichaguliwa awamu ya mwisho hapo yan kwa bahat mbaya na uwezo wao ni wakawaida tu na amekosa mkopo nahisi amepata mfazili lakini nkieaza naumia sana nlimuamn sana nampenda sana
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] mtu mzima kuchapiwa ni siri ya ndani....Maelezo yako yanajitosheleza mkuu , mwambie apite hivi
 
Ushauri: usipende kumpigia simu usiku maana utazidi kuumia siku akipokea dume mwenzako
 
Unamtumiaga Pesa? Kama hapana embu jaribu tuone kama ataendelea kusema amechoka.

Akipokea pesa na akaacha kuchoka basi achana nae na mapenzi kabisa nenda katafute hela. Ukizipata kama Dangote hautarudi tena hapa kulia lia.

Hivi SUA wanafundisha kilimo au Mapenzi? Usije mlaumu akila kichwa
 
Back
Top Bottom