exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu inaonekana una stress za maisha sana.Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things 😂
Laiti ungejua nilivyo na maisha comfortable usingehata ongea. Nina miaka zaidi ya 10 sijajua kitu kinaitwa shidamkuu inaonekana una stress za maisha sana.
Ingekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Kujiendekeza tu na kupenda raha. 😀😀Dar kumemuharibu huyo mkuu,huenda huko nyuma hakuwa hivyo
Kwani mdogo wangu we hujaliona? 🙈
Kujiendekeza tu na kupenda raha. [emoji3][emoji3]
Kujiendekeza tu na kupenda raha. 😀😀
Hahahahaaa. Lol