Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Watu mnalaumu tu
Wakati mwingine rizki tunapeana tu kama wabebaji wasingekuwepo ni wazi kuwa jamaa angevuka vizuri tu na mkewe angekunja gauni wavuke
Maji yenyewe ya magoti tu

Huwezi kukomaa jamaa wanakwambia bro tunakuvusha kwa elfu mbili tu we na mkeo
Wakati mwingine unagombewa ukiwa unakaribia tu kufika eneo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
You are Positive. Kongole kwako.
 
Shua
Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah daraja hilo maji hua yanapita kwa kas ya ajabu ukipita mwenyewe wafa

Hao unao waona wanauzoefu na hio kazi buku mbili kila trip
Ila we jamaa mdebwedo sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani maji mafupi hayo unashindwa kukunja sarawili yako utembee mwenyewe kweli mwanaume mzima unapakatwa?!
Hivi unajiskiaje kubebwa na mwanaume mwenzio mgongoni kama mwali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Tena.

Ila sio mleta uzi peke yake ujue wapo Me wengi siku hizi wanaogopa maji mbaya. Wapo radhi wabebwe namna hiyo ila si maji kuwagusa.

Halafu unasikia mtu anasema 500 kitu gani bora nibebwe tu. Lol.
Shida sio maji mkuu shida ni maji yana presue kali mno unakwenda na maji kisa umeogopa kutoa pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom