Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji54] wewe liongo sana
Wenzenu mikoani tunatembea na mitumbwi kwenye begi. Ukifika sehemu ya hivyo iliojaa maji unatoa mtumbwi wako unapiga kasia chap hadi upande wa pili. Unakunja mtumbwi kwenye begi maisha yanaendelea..

Sasa vijana wa dar wanywa alkasusu sijui mkoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnalaumu tu
Wakati mwingine rizki tunapeana tu kama wabebaji wasingekuwepo ni wazi kuwa jamaa angevuka vizuri tu na mkewe angekunja gauni wavuke
Maji yenyewe ya magoti tu

Huwezi kukomaa jamaa wanakwambia bro tunakuvusha kwa elfu mbili tu we na mkeo
Wakati mwingine unagombewa ukiwa unakaribia tu kufika eneo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wanayaona hayo maji kwa camera yametulia

Yanakasii ya umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalijua vzr hili daraja kweli? Ishort walisha fiapo watu wengi tu waliojaribu kupita wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Hivyo Mkuu uoga wako ni kufa tu? 😀😀😀 na aliyekubeba je hajapita mwenyewe au ndio aliweza kupita sababu ana mzigo mgongoni? 😀😀😀 Je hao wa pembeni nao? 🤔
 
Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]
Kudharau vya kwetu, hapo tunaongoza duniani.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things 😂
Ni kweli kabisa ila mabadiliko hua yanaanza na mtu binafsi, wewe umefanya nini ilikutengeneza mabadiliko au unashauri nini maana wengi Tanzania ni washauri, wakosoaji na waongeaji wazuri tunakwama utendaji kazi.
 
Back
Top Bottom