Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Tungoje akishafika nyumbani na mkewe amalizie kutusimulia raha ya kubebwa mgongoni.....

Ila raha ya kubebwa mgongoni shurti ubebwe na mbelekoo... Mgongo mtamu Bwana asikwambie mtu.
Umeanza!!
 
Hivyo ukikutana na maji ka hizo utafanyaje? Au ndio utaghairi uendako?
Nilivo na wivu naanzaje muacha mtu ampakate wife namna hiyo asee.
Vitu vingine sio vya kujaribu oh, sa hapo wakikutana tena na huyo jamaa alombeba watatazamana vipi si ndo mwanzo wa kwenda kumalizia sasa huo.
 
Umeanza fujo zisizokera, mana huishiwagi vitimbi wewe.!!

Poa, usalama upo lakini!?

Aahahahahahaa ni Matata kiasi cha mboga tuu si saanaaa eehehehheeee.

Usalama upo mia ya mia bin bidhaa yenyewe yenye kukinga Mahaba yasipotee kwa kukosekana kwa bidhaa japo utamu unakjwa umefunikwa aahahahahaaa..
 
Swadaktaaa!!!!.

Tunda la zamani ila ladha na utamu ni ule ule haujawahi chuja iwe masika iwe kiangazi bado ni burudani ya kasi 5G.
 
Nilivo na wivu naanzaje muacha mtu ampakate wife namna hiyo asee.
Vitu vingine sio vya kujaribu oh, sa hapo wakikutana tena na huyo jamaa alombeba watatazamana vipi si ndo mwanzo wa kwenda kumalizia sasa huo.
Ndio hapo sasa eti. Tena mdada mwenyewe ka huyo kajazia jazia. 😀😀
 
Swadaktaaa!!!!.

Tunda la zamani ila ladha na utamu ni ule ule haujawahi chuja iwe masika iwe kiangazi bado ni burudani ya kasi 5G.

Aaahaahahhahahaaaaa looh!!!

Wee Damii weeweee, utafanya jioni hii nibadili uelekeo wa njia kuja hapo ulipo mnara wa 5G....bila kujua nyumbani ntarejea saa ngapi eeheheheheheeee.
 
Back
Top Bottom