Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Ndio hapo sasa eti. Tena mdada mwenyewe ka huyo kajazia jazia. 😀😀
Eewaa, huyu tayari huyu hadi aje kuondoka huko kijijini huko lazima tutaona manyoya tu hapo.

Na huyo jamaa akimuacha hivi hivi atakuwa mzembe sana, huwezi baki na nyavu namna hiyo alafu unapaisha asee.
Nasema hapo lazima tuone manyoja tu hamna namna
 
Hahahaaa. Hatari.
 
Aaahaahahhahahaaaaa looh!!!

Wee Damii weeweee, utafanya jioni hii nibadili uelekeo wa njia kuja hapo ulipo mnara wa 5G....bila kujua nyumbani ntarejea saa ngapi eeheheheheheeee.
Eeh yaani Mshale ukipigwa na mwindaji hodari huwa haukosi windo.

Na Mara nyingi muelekeo wa windo huwa unategemeana na nguvu ya mshale windo linaweza kubadili muelekeo ikiwa mshale utapiga panapo takiwa na kutokana na nguvu ya mshale hapo windo lazima litabadili muelekeo wake na kumtii mwindaji na kujisalimisha.!!

Sasa sijui kama mshele huu utafakinikiwa kubadili mwelekeo wa windo au vipi.bado napima upepo hapa!!!!
 
Hahahaaa. Mtani umefanya nimecheka saa hii. Lol.

Hongera. Mana umefanya nawaza saa hiyo unacheza na hayo maji inakuwa ndio unaenda uendako au unarudi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah asante kwa hongera nyingi!!

Sisi watu wa Pwani,...ninapocheza na hayo maji naweza nikawa kati siendi popote bali nafanya nakshi tu zile za masamaki

Ushawahi ona mtu akivuka kutoka upande mmoja wa bahari kwenda upande mwingine!?? Kama hujaona mtani mie hiyo ndio ilikuwa michezo yangu wakati wa ukuaji!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh yaani Mshale ukipigwa na mwindaji hodari huwa haukosi windo.

Na Mara nyingi muelekeo wa windo huwa unategemeana na nguvu ya mshale windo linaweza kubadili muelekeo ikiwa mshale utapiga panapo takiwa na kutokana na nguvu ya mshale hapo windo lazima litabadili muelekeo wake na kumtii mwindaji na kujisalimisha.!!

Sasa sijui kama mshele huu utafakinikiwa kubadili mwelekeo wa windo au vipi.bado napima upepo hapa!!!!

Aahahahahaa umenikumbusha wimbo wa Juma Nature... "mshike mshike ndege tunduni..."
Naona kinanitokea eehehhee.
 
Aahahahahaa umenikumbusha wimbo wa Juma Nature... "mshike mshike ndege tunduni..."
Naona kinanitokea eehehhee.
Dooh!!!!
Hujakosea hapo ngoja nikae bazani kabisaa nivute subira kidogo!!!
 
Hizo hapo
20200421_114734.jpeg
20200421_114532.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom