Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Mikono ya mbebaji aliembeba wa kike imeenda deep zaidi ya mikono ya mbebaji aliembeba wa kiume.

Hatari ya kuanguka imekaa zaidi kwa mbebaji aliembeba wa kike.


#UsinichanieMkeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah asante kwa hongera nyingi!!

Sisi watu wa Pwani,...ninapocheza na hayo maji naweza nikawa kati siendi popote bali nafanya nakshi tu zile za masamaki

Ushawahi ona mtu akivuka kutoka upande mmoja wa bahari kwenda upande mwingine!?? Kama hujaona mtani mie hiyo ndio ilikuwa michezo yangu wakati wa ukuaji!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani wa Nyumbani umejua kuua hapa. Saafi. 😀😀
 
Back
Top Bottom