funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Rorya moja hiyo anaitwa mama Bhoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rorya moja hiyo anaitwa mama Bhoke
Ingekuwa vyema kama wewe ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Corona imenifanya nizidishe mazoezi.
Naangaika na hiki kitambi kiondoke haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nimeshangaaHalafu sasa yeye ametangulia mkewe yuko nyuma[emoji23][emoji23][emoji23],halafu hana hata wasiwasi.
Laiti ungejua nilivyo na maisha comfortable usingehata ongea. Nina miaka zaidi ya 10 sijajua kitu kinaitwa shida
Hebu angalia mbebaji anavyofaidi haya makalio kwa kuyashikaIngekuwa vyema kama wewe ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Amiin Mkuu.😊😊😊mi nafurahi kusikia hivyo Mungu akuzidishie
Haha unapenda kusikia basi mi ntakung'ata sikio ulidhike.
Hahaha upo vizuriAmiin Mkuu.
Imebidi nijiongeze tu nshajua nini ulimaanisha eti. 👊
Et usichanie mkeka[emoji23][emoji23]Mikono ya mbebaji aliembeba wa kike imeenda deep zaidi ya mikono ya mbebaji aliembeba wa kiume.
Hatari ya kuanguka imekaa zaidi kwa mbebaji aliembeba wa kike.
#UsinichanieMkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Mkuu
Mkeo ana mguu wa Bia [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa hapo uanume wako huko wapi? Wewe ndio ulitakiwa kubeba mkeo na kuvuka mto. Yaani mkeo anashikwa hips hivi hivi, halafu wewe upo mbele badala ya nyuma.
Sasa hapo uanume wako huko wapi? Wewe ndio ulitakiwa kubeba mkeo na kuvuka mto. Yaani mkeo anashikwa hips hivi hivi, halafu wewe upo mbele badala ya nyuma.
ha ha ha si unajua kule kuna kuwa na rangi ya kipekee?ukiona vile ni tatizo la ngozi n.k ili kujihami usiruhusu kila aina ya maji yasogelee sehemu hizo.Duuh!!!
Na mkeo vp
Wewe "deyus" mkeo anashikwa makalio namna hiyo halafu unajisifu?Kutoka Dar mpaka kijijini
View attachment 1426075View attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app