Nimefungua biashara zaidi ya tatu Tanzania, nimeajiri watu, na bado naendelea kufungua, wafanyakazi wangu wanaofanya vizuri kila mwaka wanakula safari kwenda nchi za nje Dubai, USA, Korea, Hong Kong, kula bata wapate exposure. Na mshahara nalipa vizuri sana kulingana na kazi wanayoifanya, ila they make profit so its a win win, ukiingia ofisi yangu yoyote ile watakupokea ka mfalme, top notch service unapewa na kahawa kabisa wakati unasubiri hata kama hutoi pesa ili siku nyingine urudi. Kila kitu kinaendeshwa na computer, ofisi zote zina unlimited internet, software zote zinazorun my companies nimetengeneza mwenyewe.
So yah, I'm doing something, ila mtu moja hawezi badilisha nchi nzima. Mindset ya wengi inasikitisha sana bongo