Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Tena.Si umeona kijijini kwao kulivyo,ameishi Dar ameshayasahau mazingira ya kwao,eti hadi avushwe tena na mkewe abebewe,doh,aangalie asije kubebewa mazima,😜😜
Ila sio mleta uzi peke yake ujue wapo Me wengi siku hizi wanaogopa maji mbaya. Wapo radhi wabebwe namna hiyo ila si maji kuwagusa.
Halafu unasikia mtu anasema 500 kitu gani bora nibebwe tu. Lol.