Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things πŸ˜‚
 
mkuu inaonekana una stress za maisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…