jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ndiyo,ni hapa Rujewa.
Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki!
Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini.
Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo wa umeme unaoendelea.
Tatizo hilo la kutopatikana kwa umeme limesababisha hasara kubwa kwa wakulima na wafanyabiashara wa zao la mpunga hali inayopelekea kutokukobolewa kwa wakati mazao yao.
RiP JPM!
Mkuu tulia watu wanatafune nchi yao vizuriUmeme umekuwa ni kaa la moto, ngoja tuone stiglaz itajaa maji yapi maana naona mvua msimu huu bado ni chenga...
Mmeshatajiwa eneo lenye tatizo.Tunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa urahisi wa kufatilia na kuchukua hatua stahiki
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Tafadhali tambua msingi bora wa huduma kwa wateja umejangwa kwenye mambo kadhaa kubwa zaidi ni kupata taarifa kamili, kuzifanyia kazi na kumpa mrejesho mteja kwa ufanisi zaidiMmeshatajiwa eneo lenye tatizo.
Namba ya mtoa habari ya nini tena.?
Kwenye hilo eneo hamna watendaji wa TANESCO? kwanini msiwawasiliane na hao watendaji wenu na mkatupatia majibu sahihi?
Jitahidini muwe mnatuwashia umeme hata mara 3 kwa mwezi inatosha siku zingine mbalamwezi inatoshaTafadhali tambua msingi bora wa huduma kwa wateja umejangwa kwenye mambo kadhaa kubwa zaidi ni kupata taarifa kamili, kuzifanyia kazi na kumpa mrejesho mteja mwa ufanisi zaidi
Ndugu mpendwa Mteja wetuOfisi yao si ipo Kidatu pale?
WatejaTunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa urahisi wa kufatilia na kuchukua hatua stahiki
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Pumba nyie kma ndio nyie acheni porojo za urojo fanyeni kaziTafadhali tambua msingi bora wa huduma kwa wateja umejangwa kwenye mambo kadhaa kubwa zaidi ni kupata taarifa kamili, kuzifanyia kazi na kumpa mrejesho mteja mwa ufanisi zaidi
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa urahisi wa kufatilia na kuchukua hatua stahiki
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Asante sana mpendwa mteja wetuPumba nyie kma ndio nyie acheni porojo za urojo fanyeni kazi
Ikitokea shoti ya umeme, nguzo kuanguka na kuhatarisha maisha ya watu mngesubiri namba ya simu humu?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Taarifa ili ifanyiwe kazi inapaswa itusaidie kukuhudumia. Tupo kuwahudumia wapendwa wateja wetuIkitokea shoti ya umeme, nguzo kuanguka na kuhatarisha maisha ya watu mngesubiri namba ya simu humu?