samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
Mmeshatajiwa eneo, mnapaswa kufuatilia taarifa kama sahihi au sio sahihi....kama ni sahihi mnapaswa kuact haraka kumaliza tatizo..