Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

Ninyi mmeelezwa tatizo namba ya simu ya nini, HAYA matatizo ya kukatika umeme yamekua sugu sana nchini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unawapa namba Mara unasikia Fulani hajulikani alipo.
Wao si wapige Simu kwa uongozi kwenye eneo linalolalamikiwa?
 
Wanataka kutupiana wananchi zigo! Kwamba hawatupatii taarifa.
Ofisi zao kila mkoa na wilaya Zina kazi gani mpaka watake mwananchi atoe taarifa?
Tunaamini kuwa mtatupatia taarifa kamili kwa huduma bora
 
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa urahisi wa kufatilia na kuchukua hatua stahiki

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja
Amewatajia mpaka na pahala husika.
Akijulikana na namba za simu ili aje atishwe tishwe.
Fuatilieni au kama mnakanusha mkanusha kwa utaalamu wenu.
Mana tumeona kuanzia tarehe nane mwezi huu kuna ufundu unaendelea na kuna baadhi ya sehemu zitakosa huduma muhimu hiyo.
 
Haina maana kuwa hatufatilii lakini tunapenda kupata taarifa kamili kwa wepesi kufatilia
 
Ndiyo,ni hapa Rujewa.

Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki!

Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini.

Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo wa umeme unaoendelea.

Tatizo hilo la kutopatikana kwa umeme limesababisha hasara kubwa kwa wakulima na wafanyabiashara wa zao la mpunga hali inayopelekea kutokukobolewa kwa wakati mazao yao.

RiP JPM!
ndugu zangu hii nchi ina mambo ya hovyo sana.......alisikika JPMπŸ€•
 
Ndiyo,ni hapa Rujewa.

Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki!

Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini.

Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo wa umeme unaoendelea.

Tatizo hilo la kutopatikana kwa umeme limesababisha hasara kubwa kwa wakulima na wafanyabiashara wa zao la mpunga hali inayopelekea kutokukobolewa kwa wakati mazao yao.

RiP JPM!
ndugu zangu hii nchi ina mambo ya hovyo sana.......alisikika JPMπŸ€•
 
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa urahisi wa kufatilia na kuchukua hatua stahiki

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja
Token I zenu huko wala hamna msaada walaghai wakubwa nyie!

Hasara mnayotusababishia kwenye mitambo yetu mnadhani tunapenda siyo?!
 
CCM Hoyeeeeeeeee....

Wapinzani walituchelewesha sana..

Nasema uongo ndugu zangu??
 
Pole mkuu... Nadhani ni pengo la wale jamaa 6 waliofariki kwenye ajali.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Hili dodoso kubwa sana.... Wasiliana na meneja wako wa Wilaya ana taarifa zote

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo,ni hapa Rujewa.

Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki!

Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini.

Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo wa umeme unaoendelea.

Tatizo hilo la kutopatikana kwa umeme limesababisha hasara kubwa kwa wakulima na wafanyabiashara wa zao la mpunga hali inayopelekea kutokukobolewa kwa wakati mazao yao.

RiP JPM!

Na mkome kabisa shwaini, majenereta yako mengi
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

Mkuu we uchune, hai raia hawasaidiki[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom