Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

 
Chini ya hawa ndugu zangu wa kijani,, matatizo ni palepale
 
Pole sana...

Ngoja waje kukupa muongozo Kwa kukuomba location...
 
Ileje , Habari njema kwako. Bwana Yesu anarudi upesi. Tubu dhambi na kuziacha, umpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako. Ukikataa, halafu Yesu arudi ama ufe na hizi chuki zako za kipumbavu, unakwenda jehanum moja kwa moja. Hakuna nafsi nyingine tena. Ujumbe nimekufikishia na yeyote mwenye roho kama yako asomaye ajue. Wengine muwaambie.
 
Una akili timamu kichwani au umejaza kamasi! Wahi Mirembe kwa matibabu shetani mkubwa wee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…