Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

Wengi wamekurupuka kumfokea mleta mada wakati yeye kamkejeli JPM kwa akili
 
Mpaka Ikulu ya Kikwete Ikulu ilikuwa inatumia email address za Yahoo.

Maana yake Yahoo walikuwa wanaona mawasiliano ya email ya Ikulu ya Tanzania.

Na mpaka leo hatujui tuna viraka gani havijazibwa.
 
Mabeberu Ni kina Lisu na Robert Amsterdam, zito kabwe na wewe mwenuewe.
 
Mmuulize hivi Italy(mabeberu) ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake walikufa kwa ma elfu kwa covid,hawa nao wapo kwenye vita ya kiuchumi na nani?
Kabla ya wimbi hili, Italy ilikuwa inapingana na washirika wake kuhusu vikwazo dhidi ya Russia pia ni nchi iliyokuwa imetangaza rasmi kuimarisha ushirikiano na China. Italy ilikuwa imewekeana makubaliano kibao na China!

Unganisha dots mkuu!
 
we tukana mamba tuu.. 😷
 

Utumbo kiwango cha 5G
 
Wangetaka kutuua wangetuua kitambo sana kwa kuwa hata chanjo ulizochomwa utotoni ni zao,acheni kutupotosha kwa kuficha udhaifu wenu.
Mkuu, nchi hii kuna wajinga wengi sana, ambao huwa hawana muda wa kufikiri, kwa nini hivi, kwa nini vile. Ysani wao, wanategemea KUFIKIRIWA na wengine!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1 week
 
Rudi Ulaya ukaishi huko amabako unaona kunafaa mbona umerudi Tanzania? poor explanation.....
Possibly ni poor explanation kama ulivyoandika lakini unaweza ukawa unasumbuliwa na "Ushamba"
 
Kuna mada ukisoma kama mtoa mada yupo jirani unaweza kumzaba makofi….kuposti tu mada unasahau kuwa unatumia vifaa vya mabeberu….YATOSHA
 
I like the sarcasm.

Kwa wenye bongo finyu hawawezi kukuelewa.

Naona hata mataga nao wanakupongeza wakati umewashika masaburi.

Wengine nao wanamwaga povu bila kujua maudhui lengwa!
 
kwa haya maandishi uliyoyaandika ingekuwa mchezo wa mpira ningesema ni counter attacks au kwenye kubet ni Both Team To Score.

nimekuelewa vizuri sana.
 
Umejitahidi sana kuandika uharo! Pole.
 
Kwa nini wazungu wanataka kutuua au kutonyong'onyesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…