redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Ndugu mbumbumbu mechi ya kwanza Yanga na manning Rangers taifa uwanja wa uhuru 1-1Wapumb.avu kama nyie hata kuwajibu ni aibu kwangu. 1998 Yanga walicheza Ligi ya mabingwa Dar uwanja wa Taifa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto waliozaliwa 2000 mana shida sana. Games zote za makundi zilichezwa Mwanza CCM kirumba bwege wewe.
Mechi ya pili taifa/uhuru yanga na Asec tena Yanga wakivaa jezi za Nationa timu zile za mistari ya kijani na Nyeusi
Mechi ya mwisho yanga walimalizia Dar es salaam kwa sare ya 3-3 vs Raja goli la Yanga la tatu linafungwa na shaabani Ramadhani la tik-tak jukwaani mashabiki wa simba wakivalia jezi ya raja Nyeupe na kijani.