Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Wapumb.avu kama nyie hata kuwajibu ni aibu kwangu. 1998 Yanga walicheza Ligi ya mabingwa Dar uwanja wa Taifa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto waliozaliwa 2000 mana shida sana. Games zote za makundi zilichezwa Mwanza CCM kirumba bwege wewe.
Ndugu mbumbumbu mechi ya kwanza Yanga na manning Rangers taifa uwanja wa uhuru 1-1
Mechi ya pili taifa/uhuru yanga na Asec tena Yanga wakivaa jezi za Nationa timu zile za mistari ya kijani na Nyeusi
Mechi ya mwisho yanga walimalizia Dar es salaam kwa sare ya 3-3 vs Raja goli la Yanga la tatu linafungwa na shaabani Ramadhani la tik-tak jukwaani mashabiki wa simba wakivalia jezi ya raja Nyeupe na kijani.
 
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo. View attachment 2934224
Sasa mbona mnalazimisha wote tuwe mashabiki wa Simba na Yanga?

Wengine sisi ni mashabiki wa Lipuli na Tumetokea South Africa..Wangoni sisi..

Na Ndugu zetu kina Tshaka zulu..
Sasa nitaachaje kushabikia Ndugu zangu wakati hiyo sio Timu ya Taifa

Tusipangiane vya Kushabikia 😅😅
 
Asitutishe! Kwahiyo kama me naipenda Mamelodi tokea utoto na imekuja Tz why nisiende uwanjani nimepiga Uzi kuiunga mkono timi yangu?

Huyo kiongozi akili ndogo sana..


Ndo wale Nay wa mitego kawachana
Sasa si ndiyo hapo wengime tunaipenda mamelodi kutoka kwenye Damu kabisa
 
Kwahiyo tunachaguliana kupenda,
Kwa Sheria ipi?

Katiba inavunjwa hapa.
 
Kwani nikivaa mfano tishetr ya memelod au al ahly nitashughulikiwa kwa mujibu wa sheria gani hapa tanzania? au ni kwa mujibu wa kanuni za TFF? au kutishana tu kishamba na washamba wanaovaa suti
 
Hii sio solution ingekuwa National team sawa,Sasa vilabu kweli Sasa mi kama ni mshabiki wa mamelodi nisitinge t-shirt langu kweli uonevu huu..tutaangalizia kibanda umiza
 
Siku Yanga anacheza na Al ahly kwa mkapa ilikuwa aibu kuona watanzania weusi wanashangilia na waarabu al ahly walipofunga goli mpaka wakawasha moto na kupanda juu ya viti kurukaruka , iwe mwanzo na mwisho .
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Mashabiki hawazuiliki ndio maana nyie mnashinda airport kupokea wageni wa simba ila linapokuja swala la viongozi ni next level.
 
Yaani jezi nimeinunua kwa pesa yangu nimeilipia hadi kodi halafu anatokea mtu ananiamuru wapi naweza kuivaa.

Kwanza sheria za CAF zinataka timu mwenyeji kutenga siti kadhaa kwa washangiliaji wa timu ngeni, haijalishi hao washangiliaji wanatokea umbali gani.

Tuutafute ushindi kwa njia zote ila mpira ubaki kuwa burudani.
 
Back
Top Bottom