Inawezekana ndoa kikawa kitu kigumu kuliko kitu chochote hapa tanzania
Kuliko kutafuta utajiri
Kuliko kupigania kuuona ufalme wa Mungu/ Pepo
Juzi tu hapo 2022sep- pita pita zangu mtaani kikawa kinanishangaa kabinti kama cha miaka 19-22 hivi huku na huku na mm nikakichangamkia kwa nn? Kinanishangaa kikajibu hapana siku ya pili na ya tatu yake kikiniona kinanisalimia na kufurahia, nikasema Huu ni uzembe nikakaomba namba stori nyingi nikakikaribisha gheto-mm hapo mtaani ni mgeni- kikaja gheto nikala kamba kikawa mchezo wake kanakuja kama nipo free mm napiga za ushindi banah wewe, jamaa zangu wakanipa stori kuwa ni mke wa mtu daah nilisikitika sana kwani naamini sana kwenye karma yaani kama nimepiga mke wa mtu na mimi nitapigiwa tu..
Nikakaita gheto na kukisomea kesi kikakubali na kunambia akana furaha na amani kwa mme wake nimekauliza unampenda mme wako kanasema ndio lakini sifurahii penzi, amfanyi kama vilee anapenda, ila anasema kula kuvaa kila kitu jamaa yake anazingatia tatzo hapo tu kwenye kupeleka moto, nikamwambia siku ingine mtu akikuuliza kama una mtu inabidi umueleze ukweli unaweza kumsababishia mtu matatizo, nimeama huo mtaa na ajui nimeamia wapi?
Ila anapiga sim na kutuma sms kama ana wazimu yaani tunachat na kuwasiliana sana hapa nnapo kwambia jumaamos anataka tukutane tufanye nimemwambia sitoweza yaani hapa sim inaita hatari sijapokea mpaka sasa kuna missed call kama 5 hivi anataka ajue kwann? Siwezi kukutana na yeye na kulala nayeye, ajui tu kama yenyewe tu hiyo mara ya kwanza sikujua kama ni mke wa mtu bila ya hivyo nisingeweza kutembea nayeye.
Wake za watu changamoto sana aisee.
View attachment 2479028