kwa unavyofikiri wanaopiga hiyo mishindo ya fedha ndefu wanaweza kukushirikisha kirahisi namna hiyo?Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
Ngada haifiki huko, watu wenyewe ni mapunda, wanaonufaika ni wenye mzigoLabda ngada Tu na ujambazi hakuna kingine
Tunafumbuana macho kuijua nchi vizuriMnatafuta shortcut au sio
Kuna Gold pia tatizo huko machimboni kuna mambo ya ushirikina sana, wengi wanafirisika kwa kukimbia waganga wao wakipata mali bila kujua kuna maagano waliyafanya mwanzoni wakiwa hawana kituLabda ngada Tu na ujambazi hakuna kingine
Kuna mazali piaKuna Gold pia tatizo huko machimboni kuna mambo ya ushirikina sana, wengi wanafirisika kwa kukimbia waganga wao wakipata mali bila kujua kuna maagano waliyafanya
UVAMIZI (UJAMBAZI) & UFISADINiliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
Ujambazi labda zamani, siku hizi umepungua sana kuna teknolojia na watu wanatunza vya thamani benkiUVAMIZI (UJAMBAZI) & UFISADI
Mbona simple kuwa mwanamtandao wa CCM!Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
watu wanapiga mpaka mabilioniNje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,)
Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,