mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Kuna madini kuna jamaa namjua kabisa chunya makongorosi kwenye migodi ile ya kina Hamza aliyeua police shekh yule alipiga bilion 2.4 za dhahabu na umaskin akauaga mpk leo ana mawe hatari akaja fungua biashara zake kariakoo hapo na alikuwa kapuku tu wa kawaida