Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,)

Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?

Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
 
kwa unavyofikiri wanaopiga hiyo mishindo ya fedha ndefu wanaweza kukushirikisha kirahisi namna hiyo?
 
Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?

Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
Mbona simple kuwa mwanamtandao wa CCM!
 
Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,)

Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?

Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
watu wanapiga mpaka mabilioni
 
Bongo hakuna labda kwenye siasa kwa mbaaali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…