mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Zipo kila siku na kila say.Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,)
Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi . Sushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
Usimkatie mtu tamaa mpaka anaufaKuna madini kuna jamaa namjua kabisa chunya makongorosi kwenye migodi ile ya kina Hamza aliyeua police shekh yule alipiga bilion 2.4 za dhahabu na umaskin akauaga mpk leo ana mawe hatari akaja fungua biashara zake kariakoo hapo na alikuwa kapuku tu wa kawaida
KabisaaaUsimkatie mtu tamaa mpaka anaufa
Kama kwenye pi coin πππΏMnatafuta shortcut au sio
Wee jamaa mnoko sana unajua million yangu imelala huko,Kama kwenye pi coin πππΏ
1 million dollars π₯π₯Kuna madini kuna jamaa namjua kabisa chunya makongorosi kwenye migodi ile ya kina Hamza aliyeua police shekh yule alipiga bilion 2.4 za dhahabu na umaskin akauaga mpk leo ana mawe hatari akaja fungua biashara zake kariakoo hapo na alikuwa kapuku tu wa kawaida
Zipo nyingi sana ila lazima uwe mtu wa connection; jiulize kwa nini vita ya Congo haiishi?Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,)
Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ?
Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
Akili za maskin bwana ...aaargh!Mada za mtego