Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KWENYE MIUNDO MBINU YETU YA UMEME

Habari wapendwa wateja wetu

Tunaomba kuwataarifu kuwa tunalazimika kuzima huduma ya umeme ili kuruhusu mafundi Kuunganisha mradi utakaosaidia kuboresha upatikanaji wa umeme maeneo ya ubungo makao makuu.

SIKU: Jumamosi

TAREHE. 15/03/2025

MUDA

Kuanzia Saa 04:30 Asubuhi Hadi Saa 05:00 Asubuhi kwa muda wa nusu saa

MAENEO YANAYOATHIRIKA

KMARA, KIBO, KIMARA ROMBO, KIMARA BARUTI, DOCHA, KONA, KIMARA BUCHA, KOROGWE, RESORT, KIMARA MWISHO, KIMARA MAVURUNZA, GOLANI, KIMARA MICHUNGWANI, MATETE, KAM COLLEGE, EBONITE NA MAENEO YA JIRANI, Tanroad ubungo , PVC ubungo na Maeneo Jirani.

Tunawaomba radhi wateja wetu kipindi hiki tunachoendelea kuboresha miundombinu ya umeme.

Kwa taarifa au ulizo wasilana nasi kwa namba 0756251753 au 0748550000
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Tanesco Kinondoni Kusini
15/03/2025
 
Attachments

  • 1741872580381.png
    1741872580381.png
    907.4 KB · Views: 1

Pokeeni umeme kutoka Ethiopia
 
Kuna Kila dalili umeme uko nusu ya nchi,pengine haupo kabisaa
 
  • Thanks
Reactions: I M
Wanauandaa kuuza nje ya nchi japo utapotelea njiani wote, wa Ethiopia utakuja hadi Kenya na kufika kwetu bila kupotea, tuwe wavumilivu.
 
Huku kisiwani songos kilwa umeme hakuna yapata wiki, mama yetu kipenzi tuletee huo wa etopia 🇪🇹 tafadhali, mitano tena
 
Mbona mimi nipo Singida mjini hapa umeme haujakatika tangu asubuhi.
 
Back
Top Bottom