Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ballack na sio barackMichael Barack
Yule jamaa amecheza mpira muda mfupi na madogo wa 2000 hawajui vizuri Ile German machine
Bado hajapatikana kama Beckham huyu alikua ni mkali wa free kick ever..Timu yako inahitaji ushindi, na dakika za lala salama imepata freekick karibu na goli la mpinzani. Unamchagua nani kati ya hawa kupiga mpira huo wa adhabu ndogo ili kuhakikisha ushindi?
View attachment 3541979
ASANTE Kwa kunikumbushaBallack na sio barack
Mimi nikajua nyuzii za mpira huchangii...Juninho
Mie kwenye soka niko winja winja sana, sio kwamba sijui
😊😊Mie kwenye soka niko winja winja sana, sio kwamba sijui
Nimecheza sana chandimu, zungusha sana no 8 pale katiiii.
Nikiwa primary, nilikua mkali wa Dana dana,
Sema nilivofika std 6, mzazi alinikatalia nisiwekeze akili kwenye michezo hasa soka, haitakua na future kwangu binafsi, nilihisi anazuia kipaji changu, ila Leo naamini kwanini alinizuia. Aliona kitu mbelee.
Swadaktaaa.