Mke wake alikua Muislamu na baadae akawa mkristo kumfuats mumewe, kwa mujibu wa mahojiano yake
Yupo sahihi
Sisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??Mtu akishafika umri wa miaka 18 na zaidi, tayari anakuwa na uhuru wa kuchagua imani ya kuifuata.
Nafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera 🤗
Wamebadilishana dini sasa au...?Mke sasa ni Mkristo na mume wake ameslimu....?Mke wake alikua Muislamu na baadae akawa mkristo kumfuats mumewe, kwa mujibu wa mahojiano yake
Kwenye hilo lenu, naona maandiko yamekaa kimya 😅Sisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??
Nyie ndio mtakuwa hao ma bikra sealed safiiSisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??
Kule Atalia Na Kusaga MenoNafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera 🤗
Ushatumika huku duniani halafu kule ukawe bakra...!!? ahaa hahaaa hahaa...Sisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??
Jamni kila siku natoa elimu kuhusu hawa mabikra mjueSisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??
Hizo bikra mnazo sasa???Sisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??