Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Mbona umewaza hivyo Mjukuu?Kwa hiyo Ahela Sisi Kazi yetu kuliwa🤪🤪🤪
Kwani huinjoi Mambo Duniani 😜
Mbona umewaza hivyo Mjukuu?Kwa hiyo Ahela Sisi Kazi yetu kuliwa🤪🤪🤪
Hayo tuyaache MkuuKuliko kwenda kupakatwa na kidune Ibrahimu kama Lazaro,alivyopakatwa na kidume Ibrahim
Nikiijoy duniani ndo imeisha hivyo Babu Ahera Sina changu?Mbona umewaza hivyo Mjukuu?
Kwani huinjoi Mambo Duniani 😜
Yuni😂akienda Dec atawapa shida sana meku wenzakeSio yuni kirefu yunisi Kuna mambo hayazoeleki Bora umwite deo lazamani
Wachache sana wanabadili hizi dini kwa sababu wamezisoma wakazielewa mara nyingi sababa huwa ni wanawake au kupata favor fulani ya kimaisha.Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
View attachment 3462686
Acha porojoUongo uliozidi
Mungu atusaidie Aisee
Hapo mtu anaenda mbinguni au motoni
Kati ya sehm hizo 2 mmoja ataenda
Hako kauongo eti mabikra 72 kibaya
Mtu akienda kuzimu Kwa sababu ya Dhambi ataenda kukutana na mavitu ya kutisha
Ni mateso juu ya mateso
tu na hapo atajuta kudanganywa mabikra 72 anakutana
Na Mashetani
Kwa sababu ya kuishi kwenye njia ya uongo
Cha Msingi tuishi kwenye njia ya Yesu
Tufike mbinguni
Huko ahera kazi yenu itakuwa kutuhudumia tu mvinyo 😜Nikiijoy duniani ndo imeisha hivyo Babu Ahera Sina changu?
Mbona hamna wake 100 hapo,soma taratibu bana nawewe usije ukasilimu maana wanawake wa duniani kule fildaus hamna chenu.Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
View attachment 3462686
Kaona upande alipo hakueleweki. Wachungaji mara mbinguni kuimba na kukata viuno mwanzo mwisho, biblia imeandikwa watapata wake 100 sasa sijui kwa ajili ya kukata viuno na kuimba. ..
View attachment 3462686