Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Ngoja nizidishwe swala ili nisipishane nao
Ila msije kunionea Gere huko mkinikuta Mzee wa miaka 79 nikimiliki hizo PisiKali 😜
Aliyewadanganya kawaweza
Ngoja nizidishwe swala ili nisipishane nao
Ila msije kunionea Gere huko mkinikuta Mzee wa miaka 79 nikimiliki hizo PisiKali 😜
Ili iweje?Kwa hiyo Ahela Sisi Kazi yetu kuliwa🤪🤪🤪
Mfike mbingu ya ngapi kaka,maana mbingu zipo nyingi.Ila waislamu wataingia Peponi.Pia kumbuka huko mbinguni kwenu mtaenda kuwapigia mapambio watakatifu kina sisi huku tukisugua tu mbususu za bikra.Uongo uliozidi
Mungu atusaidie Aisee
Hapo mtu anaenda mbinguni au motoni
Kati ya sehm hizo 2 mmoja ataenda
Hako kauongo eti mabikra 72 kibaya
Mtu akienda kuzimu Kwa sababu ya Dhambi ataenda kukutana na mavitu ya kutisha
Ni mateso juu ya mateso
tu na hapo atajuta kudanganywa mabikra 72 anakutana
Na Mashetani
Kwa sababu ya kuishi kwenye njia ya uongo
Cha Msingi tuishi kwenye njia ya Yesu
Tufike mbinguni
Safi sana maana kuungana na viumbe vyenye nguvu na visivyooneka siyo jambo la jepesijepesi tu.Kajiunga rasmi na majini
Ukweli ni HuuMfike mbingu ya ngapi kaka,maana mbingu zipo nyingi.Ila waislamu wataingia Peponi.Pia kumbuka huko mbinguni kwenu mtaenda kuwapigia mapambio watakatifu kina sisi huku tukisugua tu mbususu za bikra.
Yaani mtu Yu nusu😂Yunusu kifupi nusu🙌
I highly Support you!Bora kuwa mpagani kuliko kuwa mfuasi wa MO
Mtoto wangu akiwa mfuasi wa MO biashara inaishia hapo
MashaAllahGolikipa wa zamani wa Simba, Yanga, Azam FC, Namungo na timu ya Taifa ya Tanzanzania, Deorathias Munishi Dida amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na kuwa Muislamu baada ya kusilimu wiki iliyopita nakuanzia hivi sasa atajulikana kwa jina la Yunusu.
View attachment 3462091
Kwamba ni uongo?View attachment 3462470
Aliyewadanganya kawaweza
Shetani yupi huyo Mkuu?Kweli Shetani anawafuasi Wengi
Inanisikitisha sana
Sio yuni kirefu yunisi Kuna mambo hayazoeleki Bora umwite deo lazamaniYunusu kifupi nusu🙌
Inaonekana umeumia sanaGolikipa wa zamani wa Simba, Yanga, Azam FC, Namungo na timu ya Taifa ya Tanzanzania, Deorathias Munishi Dida amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na kuwa Muislamu baada ya kusilimu wiki iliyopita nakuanzia hivi sasa atajulikana kwa jina la Yunusu.
View attachment 3462091
Of courseKwamba ni uongo?
Ngoja niingie deep kusoma hayo maandikoOf course
Vipi hapa duniani ushawahi kula na wewe 😅😅Kwa hiyo Ahela Sisi Kazi yetu kuliwa🤪🤪🤪
Kuliko kwenda kupakatwa na kidune Ibrahimu kama Lazaro,alivyopakatwa na kidume IbrahimMtu akishafika umri wa miaka 18 na zaidi, tayari anakuwa na uhuru wa kuchagua imani ya kuifuata.
Nafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera 🤗
Hahaha.....labda nauli 😅Vipi hapa duniani ushawahi kula na wewe 😅😅