Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,957
- 1,431
nyinyi mtaenda ahera ila mtaboreshwa zaidi.....mwajuma wa peponi khatari,unaeza jikuta unamwaga utumboSisi wanawake ndo tutakuwa Hao mabikra au Sisi hatuendi Ahela??
Hahaha............kwamba hizo hadithi za kupata bikra 72 kule ni uongoKule Atalia Na Kusaga Meno
Anaenda sehemu hatari
Hapo anadanganywa
Ila wanaume walioandika Quran & biblia 🙌🙌🙌🙌🙌Halafu kuna njemba ikaandika Jana eti wanawake Ni wabinafsi🤔🤔🤔🤔🤔Kwenye hilo lenu, naona maandiko yamekaa kimya 😅
Wale bikra 72 watakuwa ni wana wali kutoka peponi moja kwa moja 🤗
Mi sijaona elimisha Tena!Jamni kila siku natoa elimu kuhusu hawa mabikra mjue
Tutapewa mwili mpya!Hizo bikra mnazo sasa???
Dunia ina mfumo dumeIla wanaume walioandika Quran & biblia 🙌🙌🙌🙌🙌Halafu kuna njemba ikaandika Jana eti wanawake Ni wabinafsi🤔🤔🤔🤔🤔
Hahaha............aisee 😅Hizo bikra mnazo sasa???
Ni maamuzi tu mkuu , binafsi mimi mtu kuwa mlokole ndio namwona kawa kilaza wa mwishoBora kuwa mpagani kuliko kuwa mfuasi wa MO
Mtoto wangu akiwa mfuasi wa MO biashara inaishia hapo
Hatari 😅😅
😀😃😃Mtu akishafika umri wa miaka 18 na zaidi, tayari anakuwa na uhuru wa kuchagua imani ya kuifuata.
Nafikiri ameona asikose fursa ya wale bikra 72 kule ahera 🤗
😀😃😃😂
USHUHUDA: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA NA KUNISAIDIA KUSHINDA BETI YA MILIONI 200
“Alhamdulillah”Allah akbar...